• Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

  • Auteur(s): DW.COM | Deutsche Welle
  • Podcast

Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Auteur(s): DW.COM | Deutsche Welle
  • Résumé

  • Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamira tegemezi.
    2024 DW.COM, Deutsche Welle
    Voir plus Voir moins
Épisodes
  • Somo 26 – Neno la kichawi
    Mar 18 2009
    Je, Ex anaweza kufanywa aonekane... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Voir plus Voir moins
    14 min
  • Somo 25 – Ua la samawati
    Mar 18 2009
    Hadithi ya kutafuta utambulisho. Sheria za sarufi: Sentensi za kitenzijina na neno „zu“.
    Voir plus Voir moins
    14 min
  • Somo 24 – Luther katika ngome Wartburg
    Mar 18 2009
    Namna Martin Luther alivyookolewa... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (III)
    Voir plus Voir moins
    15 min

Ce que les auditeurs disent de Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Moyenne des évaluations de clients

Évaluations – Cliquez sur les onglets pour changer la source des évaluations.