Épisodes

  • Zifahamu sifa Kumi na Tano za Wanawake.
    Feb 20 2025

    Ungana na Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo sifa za kumi na tano za Wanawake yaani akina mama.

    L'articolo Zifahamu sifa Kumi na Tano za Wanawake. proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    42 min
  • Fahamu Mazingira namna linavyo tumika Jina la Mungu?
    Feb 20 2025

    Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Ayuto Kongwa Kulolwa Kutoka Seminari ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Usitaje bure jina la Mungu na wale wanao apa wanalitumia vyema?

    L'articolo Fahamu Mazingira namna linavyo tumika Jina la Mungu? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    29 min
  • Mama Bikira Maria ni Matumaini kwa Mahujaji.
    Feb 20 2025

    Ungana nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea kutufundisha juu ya Matumaini tunapo mtazama Mama Bikira Maria Mama wa Matumaini.

    L'articolo Mama Bikira Maria ni Matumaini kwa Mahujaji. proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    52 min
  • Je, wafahamu kwanini kuna watoto wa Mitaani?
    Feb 20 2025

    Karibu uungane nami Martin Joseph, katika kipindi cha Elimu Jamii Mwezeshaji ni Bi. Blandina Sekela, Afisa Ustawi wa Jamii Wizara ya Maendeleo na Makundi Maalumu, Dawati la Haki za Watot0 Kisheria mada Watoto wanaoishi na wanao fanya kazi Mtaani.

    L'articolo Je, wafahamu kwanini kuna watoto wa Mitaani? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    46 min
  • Je, unafahamu namna ya kujijua mwenyewe katika Maisha?
    Feb 19 2025

    Ungana na Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo anaeleza juu ya Mtu kujijua Mwenyewe.

    L'articolo Je, unafahamu namna ya kujijua mwenyewe katika Maisha? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    43 min
  • Fahamu kwanini Mwenyezi Mungu anatupitisha kwenye Mateso.
    Feb 19 2025

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Tafakari Nasi leo studio tupo na Padre Gidion Kitamboya wa Parokia ya Hembahemba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma ,mada juu ya Mateso yasiyoepukika.

    L'articolo Fahamu kwanini Mwenyezi Mungu anatupitisha kwenye Mateso. proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    25 min
  • Umuhimu wa Wanafamilia katika kutetea Uhai.
    Feb 19 2025

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Pro-Life, leo Studio niko na wawezeshaji kutoka Pro Life Tanzania, wakitufundisha juu ya Familia na Malezi katika Uhai.

    L'articolo Umuhimu wa Wanafamilia katika kutetea Uhai. proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    56 min
  • Je, wafahamu Sakramenti Takatifu ya Mpako wa Wagonjwa?
    Feb 19 2025

    Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Renatus Kazimoto Kutoka Seminari ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema anaomba kujua Sakramenti ya Mpako wa Mgonjwa?

    L'articolo Je, wafahamu Sakramenti Takatifu ya Mpako wa Wagonjwa? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    29 min