• Tukio 24 – Meza ya Mhariri

  • Aug 25 2009
  • Durée: 14 min
  • Podcast

  • Résumé

  • Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo. Paula, Philipp na Eulalia wanagundua kuwa wafanyikazi wa gazeti la Hamburg walitunga njama yote ya kuweko papa katika bandari ili wapate kuuza nakala zaidi za gazeti. Baadaye, Philipp na Paula wanazozana kuhusu matumizi ya neno fulani. Philipp anatumai kwamba Paula atatulia pindi akimwalika katika Bandari ya Willkomm-Höft. Lau Philipp angezingatia zaidi maneno aliyotumia, Paula hangeudhika. Kiambishi-awali cha kitenzi kinaweza kuwa kifupi lakini kinaweza kubadilisha maana ya neno. Baadhi ya viambishi vya vitenzi hutenganishwa na kitenzi-jina.
    Voir plus Voir moins

Ce que les auditeurs disent de Tukio 24 – Meza ya Mhariri

Moyenne des évaluations de clients

Évaluations – Cliquez sur les onglets pour changer la source des évaluations.