Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Franco Hayati Abeli Ubamba, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Jimbo Kuu La Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Yuda Iskariote alifika motoni au Mbinguni.
L'articolo Je, Yuda Iskariote alifika Mbinguni au Motoni? proviene da Radio Maria.