Karibu uungane nami Esther Magai Hangu, katika kipindi cha Tumsifu Maria leo tupo na Padre Fabian Ngeleja Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Josephine Bakhita Nyamanoro, Jimbo Kuu Katoliki Mwanza akituelezea maajabu ya Mama mzazi wa Bikira Maria Mtakatifu Anna.
L'articolo Mtakatifu Anna ni nani katika Bibilia? proviene da Radio Maria.