Karibu uungane nami Esther Magai Hangu, katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Leo nipo na Padre Titus Amigu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akiendelea kufundisha juu ya kukoseana na kusamehana akiwatazama Wafalme mbalimbali, leo anamzungumzia Wafalme wa Israeli.
L'articolo Je, unawafahamu Wafalme wa Israeli? proviene da Radio Maria.