• HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

  • Auteur(s): Judith Isack
  • Podcast

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

Auteur(s): Judith Isack
  • Résumé

  • Huu ni mwanzo wa mfululizo wa hadithi za kiswahili zitakazomsaidia mtoto kuwa na uwezo mzuri wa kufanya vizuri darasani kwa kumuongezea uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu, hali ya udadisi na uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mbalimbali.
    judithisack2022
    Voir plus Voir moins
Épisodes
  • MKE MKULIMA NA MUME MWINDAJI
    Oct 23 2022

    Ukimaliza kusikiliza hadithi hii naomba niambie vitu hivi

    -Ni sehemu gani ya hadithi hii imekuvutia zaidi?

    -Ni nani umempenda zaidi kwenye hadithi hii kati ya mume mwindaji, mke mkulima au Sungura?

    -unahisi kwanini hadithi hiiilitungwa, ungekuwa wewe ndo umeitunga hadithi hii je ungeimalizaje?

    INSTAGRAM @simulikahadithiya maisha EMAIL simulikaorganization@gmail.com

    Voir plus Voir moins
    22 min

Ce que les auditeurs disent de HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

Moyenne des évaluations de clients

Évaluations – Cliquez sur les onglets pour changer la source des évaluations.