Épisodes

  • MKE MKULIMA NA MUME MWINDAJI
    Oct 23 2022

    Ukimaliza kusikiliza hadithi hii naomba niambie vitu hivi

    -Ni sehemu gani ya hadithi hii imekuvutia zaidi?

    -Ni nani umempenda zaidi kwenye hadithi hii kati ya mume mwindaji, mke mkulima au Sungura?

    -unahisi kwanini hadithi hiiilitungwa, ungekuwa wewe ndo umeitunga hadithi hii je ungeimalizaje?

    INSTAGRAM @simulikahadithiya maisha EMAIL simulikaorganization@gmail.com

    Voir plus Voir moins
    22 min